Administration

ministry
Joshua Petro Kyelekule Mobile: +255 754 687 598 GS@elct-elvd.org

Hadi sasa DMZV ina mifumo baadhi ya kiteknolojia, ikiwemo MIS, website, Payroll system, QuickBooks, Hospital Information Management System

Kitengo kina sera ya ufuatiliaji na tathmini

Kitengo cha Utumishi mpaka sasa kinasimamia jumla ya watumishi 413  wanaume 256 wanawake 157. Kitengo kinaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Katiba ya Day...

  Mpaka sasa Dayosisi inasambaza habari zake kwa kutumia mitandao ya kijami ambayo ni; Ø  Website: www.elct-elvd.org Ø  Facebook:...

Kitengo cha manunuzi kinafanya manunuzi kwa kuzingatia katiba na sera ya manunuzi ya Dayosisi, nanunuzi yote yanapitiwa na kamati ya manunuzi ya Dayosisi yenye...

Kanisa limesajiliwa RITA, Wizara ya mambo ya ndani na  limefanikiwa kuwasilisha marejesho (returns) ya kila mwaka kwa taasisi za usajili za RITA na Wizara...

Kitengo cha Ukagizi ni kitengo kinachohusika na maswala ya ukaguzi wa sharika, vituo, ofisi za majimbo na ofisi kuu ya Dayosisi kutokana na miongozo ya kanisa (...

UPCOMING EVENTS

Jan 11

SEMINA NA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA

Sunday 03:00 PM

Details →

Oct 19

MASHINDANO YA UIMBAJI

Sunday 09:00 AM

Details →