COMMUNICATION

  Mpaka sasa Dayosisi inasambaza habari zake kwa kutumia mitandao ya kijami ambayo ni;

Ø  Website: www.elct-elvd.org

Ø  Facebook: ELCT-ELVD

Ø  Twitter: ELCT-ELVD

Ø  Instagram: elct_elvd/elctelvd

Ø  Pamoja na Holiness Tv

Ø  Yotube channel Imani

Kuwa dayosisi ambayo shughuli zake zinafahamika kwa kuzingatia mifumo na taratibu endelevu ya kidigitali za habari, mawasiliano na ukaribishaji

-Kuanzisha na kuendesha YouTube chanel ya Dayosisi

-Kununua na kufunga mfumo wa mawasiliano ya simu za mezani Ofisi Kuu

- Kuandaa na kufanya mafunzo ya Pamoja ya waratibu wa habari, mawasiliano na ukaribishaji

-Kutengeza ukumbi maalumu wa mawasiliano (boardroom/conference room) ambao utawezesha kufanya vikao vya ana kwa ana pamoja na kwanjia ya mtandao (online)

-Kuanzisha Redio ya Dayosisi

-Kuwe na vibao standard vya matangazo na maelekezo ya kanisa

-Kununua vifaa vya mawasiliano

-Kuratibu wageni katika ngazi ya Sharika, Jimbo na Dayosisi

-Kutengeneza duka la kuuza machapisho na vielelezo vya kanisa

-Kuratibu matukio maalumu ya kanisa ngazi ya Sharika, Jimbo na Dayosisi

-Kuanda na kufanya vikao vya kamati

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano PendoLeah Bomani, Mobile: +255 763 401 870

UPCOMING EVENTS

Jan 11

SEMINA NA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA

Sunday 03:00 PM

Details →

Oct 19

MASHINDANO YA UIMBAJI

Sunday 09:00 AM

Details →