ICT

Hadi sasa DMZV ina mifumo baadhi ya kiteknolojia, ikiwemo MIS, website, Payroll system, QuickBooks, Hospital Information Management System

Kuwa Dayosisi yenye kuimarisha mifumo mathubuti kidigitali

- Kuwajengea uwezo watumishi wa DMZV kuhusu matumizi ya kiteknologia inayotumiwa na Dayosisi

- Kufanya installation ya vifaa vya kompyuta za taasisi

- Kufanya maintenance ya vifaa vya kompyuta

- Kuunda mifumo ya kieletronic ikiwepo maombi ya fedha na manunuzi

- Kuratibu ununuzi na ukarabati wa vifaa vya tehama

- Kuratibuuwekaji taarifa zote kwenye mfumo wa Dayosisi (ELCT-MIS)

MPOKI JAFFARI, Mobile: 0752 011 567

UPCOMING EVENTS

Jan 11

SEMINA NA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA

Sunday 03:00 PM

Details →

Oct 19

MASHINDANO YA UIMBAJI

Sunday 09:00 AM

Details →