PROCUREMENT

Kitengo cha manunuzi kinafanya manunuzi kwa kuzingatia katiba na sera ya manunuzi ya Dayosisi, nanunuzi yote yanapitiwa na kamati ya manunuzi ya Dayosisi yenye mwenyekiti katibu na wajumbe walioteuliwa

Kuwa Dayosisi inayozingatia kanuni na taratibu za manunuzi ikiwa ni pamoja na bodi ya wataalamu na mafundi wa ununuzi na ugavi 

·       Kuratibu manunuzi, matengenezo na uuzaji wa vyombo vya moto

·       Kuratibu manunuzi na matengenezo ya mashine

·       Kuratibu manunuzi na matengenezo ya vyombo vya muziki

·       Kuratibu manunuzi ya vitabu

·       Kuratibu manunuzi ya simu na vifaa vya mawasiliano

·       Kuratibu ununuzi na ukarabati wa vifaa vya Tehama

·       Kuratibu ujenzi na ukarabati na miundombinu

·       Kuratibu manunuzi ya chakula chuo cha biblia

·       Kuratibu uboreshaji wa michezo

·       Kuratibu utunzaji wa mazingira

·       Kuratibu ununuzi wa solar panels na jenerator

·       Kuratibu ununuzi wa vifaa vya jikoni

·       Kuratibu ununuzi wa fenicha/samani

·       Kuratibu manunuzi ya zana/vifaa vya ufundishaji

·       Kuratibu manunuzi ya vifaa vya maabara

·       Kuratibu manunuzi ya dawa na vifaa tiba

·       Kuratibu ununuzi wa vifaa vya madhabahuni

·       Kuratibu uchapisha wa matangazo

·       Ununuzi wa ardhi

·       Kuto a elimu kuhusu sera ya manunuzi katika Dayosisi

JUSTINE VICENT Mobile: +255 764 717 194

UPCOMING EVENTS

Jan 11

SEMINA NA MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA

Sunday 03:00 PM

Details →

Oct 19

MASHINDANO YA UIMBAJI

Sunday 09:00 AM

Details →