Michezo ambayo ilikuwa inafundisha namna ya kufanya kazi kama timu moja kwenye Taasisi ili kuhakikisha Taasisi yetu inafanikiwa kwa kila mtu kufanya wajibu wake tukishirikiana na kusaidiana na kuhamasishana.