Salaam za Baba Askofu Andrew Petro Gulle kwa wakufunzi

Mkuu wa KKKT- Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria Mhe. Baba Askofu Andrew Petro Gulle akitoa salaam kwa wakufunzi kwenye mafunzo ya siku tano (5) yanayohusu Uendelevu na Uwakili wa Maliasili. Kutoka charming Bungalow Nyakato - Mwanza.