Majadiliano ya Vikundi Kuhusu Mabadiliko ya Tabia ya Nchi katika Dayosisi 3

Siku ya Pili (2) Mafunzo kwa Dayosisi tatu za Mara, Mwanza na Shinyanga kuhusu Uendelevu na Uwakili wa Maliasili. Vikundi kupitia Dayosisi tatu zilizopata kushiriki zimefanya majadiliano ya pamoja kuhusu Sababu, Athari na mbinu mbalimbali ambazo Dayosisi hutumia kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi #Charming Bungalow Nyakato Mwanza