MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KKKT 21/08/2023

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Mgeni Rasmi) katika picha ya pamoja na Maaskofu viongozi wa Dayosisi 27 za KKKT katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania pamoja na zoezi la kufungua Maabara za Sayansi katika chuo Kikuu cha Tumaini Makumira.