Picha Matukio mbalimbali katika Ibada ya kuingizwa kazini Katibu Mkuu wa Tano V KKKT - Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria Bw. Joshua Petro Kyelekule iliyoongozwa na Baba Askofu Oscar Itael Lema Jumapili tarehe 27/04/2025 katika Usharika wa Kaanani Kiseke Jimbo la Mwanza Kati. Bw. Joshua Petro kylelekule amelitumikia kanisa hapo awali kwa nafasi zifuatazo kwa vipindi tofauti: Mwenyekiti wa Fedha Usharika na Jimbo, Mwenyekiti wa Fedha Dayosisi na Mwenyekiti wa kamati ya Kituo cha Afya KKKT-Nyakato Mwanza.