CHARMING SAFARIS

Kuwa kampuni ya kitalii inayotoa huduma zenye ubora na endelevu kwa kupokea wageni wa ndani na nje ya nchi na kuchangia pato la dayosisi 

·       Kurekebisha gari liwe la kisasa Zaidi

·       Kununua gari la kitalii la kisasa

·       Kusafirisha watalii

·       Kutoa matangazo ya kampuni ya utalii

·       Kuandaa na Kushiriki maadhimisho ya biashara ya kitalii (Trade fair)

·       Kuandika miradi kupata ufadhili

·       Kushiriki semina za mafunzo za kujengewa uwezo kuhusu uendeshaji biashara ya kitalii

·       Kuajiri dereva kwaajili ya safari za kitalii

JOYCE MALLYA, Mobile: +255 762 783 858

UPCOMING EVENTS

Apr 29

HALMASHAURI KUU YA DAYOSISI

Wednesday 03:29 PM

Details →

Mar 6

Maombi ya Dunia

Friday 10:00 AM

Details →