Warsha ya Waratibu na Viongozi wa Vijana Dayosisi zote za KKKT imefanyika katika Dayosisi ya Kaskazini Mashariki-Tanga, katika Usharika wa Mikanjuni. Kuanzi leo Aprili 24 hadi Aprili 26, 2026.Lengo la warsha hii ni kuwajengea uwezo waratibu wa vijana Dayosisi na kuwajengea uwezo viongozi wa vijana katika maswala ya uongozi, kuongeza hari ya kuwatumikia vijana ndani na nnje ya kanisa na kuimarisha mahusiano baina ya Dayosisi