Kamati ya Habari, Mawasiliano na Ukaribishaji Dayosisi wamefanya kikao chake cha kikatiba leo Aprili 24 katika Ukumbi wa Usharika wa Imani. Kikao hiki kimepitia mpango kazi wa 2026 na kuweka mikakati ya namna ya kuboresha mitandao ya Dayosisi ya kijami.