HALMASHAURI YA MIPANGO NA UWEKEZAJI DAYOSISI

Halmashauri ya Mipango na Uwekezaji Dayosisi imefanya kikao chake cha kikatiba leo Aprili 15 katika ukumbi wa Charming Bungalow-Nyakato