AFYA YAKO NI MTAJI WAKO!

Kituo cha Afya cha KKKT-Nyakato kilichopo Maango - National Mwanza chenye Wauguzi waliobobea kinatoa Huduma za Utrasound, Psychology, CTC, OPD, RCH, Theater, Maabara, Huduma za Kulazwa, Pharmacy n.k. Tupo Mkabala na Shule ya Wasichana Loreto. kwa Mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia namba 0654 648 228/0765 786 369/0684 824 607 Pia waweza kuwasiliana nasi kupitia barua pepe: nyakatohealthcare137@gmail.com WOTE MNAKARIBISHWA!